# kwamba inachoonyesha udhaifu wangu "jinsi nilivyo na udhaifu" "kinachoonyesha jinsi nilivyo dhaifu" # mimi sidanganyi Paulo anatumia sentensi yenye nguvu na ya ukanusho kusisitiza maana katika mtazamo wa kukubali.