sw_tn/act/23/01.md

24 lines
616 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anasimama mbele ya wakuu wa makuhani na wajumbe wa baraza.
# Ndugu zangu
Hii ina maana " Wayahudi."
# Nimeishi mbele za Mungu na dhamiri njema mpaka leo
"Mimi najua kuwa hata leo nimefanya kila kitu Mungu alichotaka mimi kufanya"
# Anania
Ni mtu tofauti na Anania anayetajwa sura ya 5:3
# ukuta uliopakwa chokaa
Inamaanisha ukuta uliopakwa chokaa ili uonekane kuwa safi. Paulo anamwambia Anania kuwa anaonekana safi kama ukuta uliopakwa chokaa lakini ndani kumejaa uovu.
# Umeketi kuhukumu ... kinyume cha sheria?
Paulo anatumia swali ili kumdhihirisha Anania kuwa ni mnafiki.