forked from WA-Catalog/sw_tn
912 B
912 B
1 Timotheo 03 Maelezo kwa ujumla
Muundo na Mpangilio
1 Timotheo 3:16 huenda ni wimbo, shairi ama kanuni ya imani kanisa la mwanzo "lililotumia kuorodhesha mafundisho muhimu waumini wote walishiriki.
Dhana muhimu katika sura hii
Waangalizi na Mashemasi
Kanisa lilitumia vyeo tofauti vya viongozi wa kanisa. Vyeo vingine vilijumuisha, mzee, mchungaji na askofu. Neno "Mwaangalizi linaashiria maana ya luga ya awali katika misitari ya 1-2. Paulo anaandika kuhusu "Mashemasi" katika misitari ya 8 na 12 kama aina nyingine ya uongozi wa kanisa.
Maswala mengine ya matata katika tafsiri ya sura hii
Sifa za tabia
Sura hii inaorodhesha sifa chache ambazo lazima mwanaume anayetaka kuwa mwangalizi ama shemasi katika kanisa awe nazo. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-abstractnouns)