Kanisa lilitumia vyeo tofauti vya viongozi wa kanisa. Vyeo vingine vilijumuisha, mzee, mchungaji na askofu. Neno "Mwaangalizi linaashiria maana ya luga ya awali katika misitari ya 1-2. Paulo anaandika kuhusu "Mashemasi" katika misitari ya 8 na 12 kama aina nyingine ya uongozi wa kanisa.
Sura hii inaorodhesha sifa chache ambazo lazima mwanaume anayetaka kuwa mwangalizi ama shemasi katika kanisa awe nazo. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-abstractnouns]])