sw_tn/1co/13/intro.md

24 lines
850 B
Markdown

# 1 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla
## Muundo na upangiliaji
Paulo anaonekana kuacha mafundisho yake kuhusu vipaji vya kiroho. Hata hivyo, labda sura hii hutumika pakubwa katika mafundisho yake.
## Dhana maalum katika sura hii
### Upendo
Upendo ni sifa muhimu zaidi ya mwamini. Sura hii inaeleza kikamilifu kuhusu upendo. Paulo anaeleza kwa nini upendo ni muhimu zaidi kuliko vipaji vya Roho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/love]])
## mifano mhimu ya matamshi katika sura hii
### Mifano
Paulo anatumia mifano nyingi tofauti katika sura hii. Anatumia sitiari hizi kuwafundisha Wakorintho, hasa katika mada ngumu. Wasomaji mara nyingi wanahitaji ufahamu wa kiroho kuelewa mafundisho haya. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
## Links:
* __[1 Corinthians 13:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__