forked from WA-Catalog/sw_tn
850 B
850 B
1 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla
Muundo na upangiliaji
Paulo anaonekana kuacha mafundisho yake kuhusu vipaji vya kiroho. Hata hivyo, labda sura hii hutumika pakubwa katika mafundisho yake.
Dhana maalum katika sura hii
Upendo
Upendo ni sifa muhimu zaidi ya mwamini. Sura hii inaeleza kikamilifu kuhusu upendo. Paulo anaeleza kwa nini upendo ni muhimu zaidi kuliko vipaji vya Roho. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/love)
mifano mhimu ya matamshi katika sura hii
Mifano
Paulo anatumia mifano nyingi tofauti katika sura hii. Anatumia sitiari hizi kuwafundisha Wakorintho, hasa katika mada ngumu. Wasomaji mara nyingi wanahitaji ufahamu wa kiroho kuelewa mafundisho haya. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)