# 1 Wakorintho 13 Maelezo ya Jumla ## Muundo na upangiliaji Paulo anaonekana kuacha mafundisho yake kuhusu vipaji vya kiroho. Hata hivyo, labda sura hii hutumika pakubwa katika mafundisho yake. ## Dhana maalum katika sura hii ### Upendo Upendo ni sifa muhimu zaidi ya mwamini. Sura hii inaeleza kikamilifu kuhusu upendo. Paulo anaeleza kwa nini upendo ni muhimu zaidi kuliko vipaji vya Roho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/love]]) ## mifano mhimu ya matamshi katika sura hii ### Mifano Paulo anatumia mifano nyingi tofauti katika sura hii. Anatumia sitiari hizi kuwafundisha Wakorintho, hasa katika mada ngumu. Wasomaji mara nyingi wanahitaji ufahamu wa kiroho kuelewa mafundisho haya. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]]) ## Links: * __[1 Corinthians 13:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__