sw_tn/psa/060/010.md

20 lines
670 B
Markdown

# Lakini wewe, Mungu, haujatukataa?
Mwandishi anatumia swali hili kueleza huzuni yake kuwa inaonekana kwamba Mungu amewakataa. "Lakini Mungu, inaonekana kama umetukataa." au "Mungu, inaonekana kama umetuacha"
# Hauendi vitani na jeshi letu
Mwandishi anazungumzia Mungu kusaidia jeshi lao kana kwamba Mungu huwa anapigina pamoja nao. "huwa husaidii jeshi letu tunapoenda vitani"
# haufai
"hauna maana"
# tutashinda
"kuwa na ushindi"
# atawakanyaga chini adui zetu
Mwandishi anazungumzia Mungu kusaidia jeshi lao kuwashinda adui zao kana kwamba Mungu alikuwa akiwakanyaga adui zao. "atatusaidia kuwakanyaga chini adui zetu" au "atatuwezesha kuwashinda adui zetu"