sw_tn/psa/059/010.md

16 lines
385 B
Markdown

# Mungu wangu atakuna na mimi
Mungu kumwokoa mwandishi wa zaburi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa anatakiwa kukutana naye. "Mungu wangu ataniokoa"
# hamu yangu kwa adui zangu
"nachotaka kitokee kwa adui zangu"
# Watawanye
"Wasababishe wazurure"
# ngao yetu
Mungu kumlinda mwenye haki inazungumziwa kana kwamba Mungu ni ngao. "mlinzi wetu" au "yule anyetulinda kama ngao"