# Mungu wangu atakuna na mimi Mungu kumwokoa mwandishi wa zaburi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa anatakiwa kukutana naye. "Mungu wangu ataniokoa" # hamu yangu kwa adui zangu "nachotaka kitokee kwa adui zangu" # Watawanye "Wasababishe wazurure" # ngao yetu Mungu kumlinda mwenye haki inazungumziwa kana kwamba Mungu ni ngao. "mlinzi wetu" au "yule anyetulinda kama ngao"