sw_tn/psa/054/004.md

12 lines
504 B
Markdown

# anaye nishikilia
Kumtetea Daudi na kumweka salama inazungumziwa kama kumshikilia. "anaye nitetea" au "anaye niweka salama"
# Atawalipa adui zangu kwa uovu
Adhabu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni malipo. "Atafanya uovu kwa adui zangu ambao walioufanya kwangu" au "Atasababisha uovu ambao adui zangu walifanya kwangu ufanywe kwao"
# katika uaminifu wako, waangamize
Hapa Daudi anabadilisha kutoka kuzungumza kumhusu Mungu na kuongea naye. "Mungu, waangamize kwa sababu wewe ni mwaminifu kwangu"