sw_tn/psa/052/006.md

12 lines
263 B
Markdown

# Mwenye haki pia ationa na kuogopa
"Wenye haki pia watamwona Mungu akimuondoa na watamwogopa"
# Tazama
"hakika"
# hakumfanya Mungu kuwa kimbilio lake
Hapa anayekimbiliwa inamaanisha mlinzi. "hakumfanya Mungu kuwa mlinzi wake" au "hakumwomba Mungu kumlinda"