# Mwenye haki pia ationa na kuogopa "Wenye haki pia watamwona Mungu akimuondoa na watamwogopa" # Tazama "hakika" # hakumfanya Mungu kuwa kimbilio lake Hapa anayekimbiliwa inamaanisha mlinzi. "hakumfanya Mungu kuwa mlinzi wake" au "hakumwomba Mungu kumlinda"