sw_tn/psa/051/005.md

20 lines
886 B
Markdown

# Tazama, nilizaliwa katika udhalimu ... tazama, unatamani uaminifu
Matumizi mawili ya "Tazama" hapa yanavuta nadhari kati ya tofauti ya mambo haya mawili. "Hakika nilizaliwa katika udhalimu ... Lakini unatamani uaminifu"
# Tazama, nilizaliwa katika udhalimu ... mara tu mama yangu alipochukua mimba yangu, nilikuwa katika dhambi
Misemo hii miwili inamaana moja na inatumika pamoja kuleta msisitizo.
# nilizaliwa katika udhalimu
Kuwa mwenye dhambi inazungumziwa kama kuwa kwenye udhalimu. "nilikuwa mwenye dhambi tayari wakati nazaliwa"
# mara tu mama yangu alipochukua mimba yangu, nilikuwa katika dhambi
Kuwa mwenye dhambi inazungumziwa kama kuwa kwenye dhambi. "hata mama yangu alipobeba mimba yangu, nilikuwa mwenye dhambi"
# unatamani uaminifu moyoni mwangu
Moyo unawakilisha kati ya 1) hamu za mtu au 2) mtu mzima. "Unataka nitamani uaminifu" au "unataka niwe mwaminifu"