sw_tn/psa/050/023.md

8 lines
347 B
Markdown

# hupanga njia yake katika namna sahihi
Mungu anazungumzia jinsi mtu anavyoishi kana kwamba ni njia ambayo mtu anasafiri. "huishi maisha yake katika njia sahihi"
# Nitaonesha wokovu wa Mungu
Hapa Mungu anazungumzia kumwokoa mtu kana kwamba ilikuwa ni kumsababisha mtu kuona wokovu wake. Anajizungumzia katika hali ya mtu wa tatu. "Nitamwokoa"