# hupanga njia yake katika namna sahihi Mungu anazungumzia jinsi mtu anavyoishi kana kwamba ni njia ambayo mtu anasafiri. "huishi maisha yake katika njia sahihi" # Nitaonesha wokovu wa Mungu Hapa Mungu anazungumzia kumwokoa mtu kana kwamba ilikuwa ni kumsababisha mtu kuona wokovu wake. Anajizungumzia katika hali ya mtu wa tatu. "Nitamwokoa"