sw_tn/psa/050/007.md

12 lines
475 B
Markdown

# Sita kulaumu kwa sadaka zako
"Nitakulaumu, ila sio kwa sadaka zako." Mungu anaeleza kuwa sadaka zao sio sababu ya kuwalaumu.
# laumu
"kemea" au "karipia"
# sadaka zako za kuteketeza daima ziko mbele yangu
Hii inaelezea kwa nini Mungu hawalaumu kwa ajili ya sadaka zao. Msemo huu " daima ziko mbele yangu" unamaanisha kuwa katika uwepo wa Mungu na unamaanisha kuwa watu wake daima wanatoa sadaka zao cha kuteketeza kwake. "huwa mnatoa sadaka zenu za kuteketeza kwangu"