# Sita kulaumu kwa sadaka zako "Nitakulaumu, ila sio kwa sadaka zako." Mungu anaeleza kuwa sadaka zao sio sababu ya kuwalaumu. # laumu "kemea" au "karipia" # sadaka zako za kuteketeza daima ziko mbele yangu Hii inaelezea kwa nini Mungu hawalaumu kwa ajili ya sadaka zao. Msemo huu " daima ziko mbele yangu" unamaanisha kuwa katika uwepo wa Mungu na unamaanisha kuwa watu wake daima wanatoa sadaka zao cha kuteketeza kwake. "huwa mnatoa sadaka zenu za kuteketeza kwangu"