sw_tn/psa/049/012.md

12 lines
278 B
Markdown

# Lakini mtu, akiwa na mali
"Lakini mtu, hata kama ana mali"
# Hii, njia yao, ni upuuzi wao
Mwandishi anazungumzia hatima ya wapumbavu kana kwamba ni mwisho wao katika njia wanayotembea. "Hii ndio hatima ya wale wanaotenda upuuzi"
# lakini baada yao
"lakini baada ya kufa"