# Lakini mtu, akiwa na mali "Lakini mtu, hata kama ana mali" # Hii, njia yao, ni upuuzi wao Mwandishi anazungumzia hatima ya wapumbavu kana kwamba ni mwisho wao katika njia wanayotembea. "Hii ndio hatima ya wale wanaotenda upuuzi" # lakini baada yao "lakini baada ya kufa"