sw_tn/amo/05/03.md

689 B

Bwana Yahwe, Yahwe Mungu

Katika Agano la Kale, "Bwana Yahwe" mara kwa mara limetuika limerejea kwa Mungu wa kweli mmoja."

nyumba

Neno "nyumba" mara nyingi limetumika katika Biblia.

  • Wakati mwingine linamaanisha "kaya," kurejea watu waishio pamoja katika nyumba moja.
  • Mara nyingi "nyumba" hurejea kwa ukoo wa mtu au ndugu wengine. Kwa mfano, kirai "nyumba ya Daudi" hurejea kwa koo zote za Mfalme Daudi.
  • Maneno "nyumba ya Mungu" na "nyumba ya Yahwe" hurejea kwa hema au hekalu. Haya maelezo pia unaweza kurejea kiujumla mahali Mungu alipo au makao.

Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli

Neno "Israeli" ni jina ambalo Mungu alipatia Yakobo. Lina maana, "amepigana na Mungu."