sw_tn/rev/17/08.md

21 lines
615 B
Markdown

# shimo lisilo na mwisho
Hili ni shimo refu sana. Maana zinazowezekana ni 1)shimo halina mwisho chini; inaendelea kwenda chini zaidi milele au 2) shimo ni refu sana hata linakuwa kana kwamba halina mwisho.
# Kisha ataendelea na uharibifu
Nomino "uharibifu" inaweza kutafsiriwa na kitenzi. "Kisha ataangamizwa" au "Kisha Mungu atamuangamiza"
# ataendelea na uharibifu
Uhakika wa kile kitakachotokea baadae kinazungumziwa kana kwamba mnyama anaendako.
# wale ambao majina yao hayakuandikwa
"wale ambao majina yao hayajaandikwa na Mungu"
# tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu
"kabla Mungu hajaumba ulimwengu"