sw_tn/psa/081/006.md

25 lines
732 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Hapa Mungu anaanza kuzungumza.
# Nilitoa mzigo kutoka mabegani mwake
Hapa "mzigo kutoka mabegani mwake" inawakilisha kazi za kulazimishwa ambazo Waisraeli iliwalazimu kufanya kama watumwa Misri.
# mikono yake iliwekwa huru na kushikilia kikapu
Hapa "kushikilia kikapu" inawakilisha kazi za kulazimishwa ambazo Waisraeli iliwalazimu kufanya kama watumwa Misri.
# katika dhiki yako
"katika mateso yako makuu"
# Nilikujibu kutoka katika wingu la giza la radi
Mungu alipokuja kwa Waisraeli, alificha ukamili wa uwepo wake na utukufu katika wingu lenye giza na la kutisha.
# Nilikujaribu katika maji ya Meriba
Mungu aliwajaribu wana wa Israeli kuona kama watamtumaini kuwapa maji katika jangwa la Meriba.