sw_tn/psa/072/008.md

41 lines
814 B
Markdown

# Awe na mamlaka
"Mfalme awe na mamlaka"
# kutoka bahari hadi bahari, na kutoka kwenye mto hadi mwisho wa nchi
Misemo hii miwili inazungumzia mifano miwli ya tofauti ikimaanisha dunia nzima.
# kutoka bahari hadi bahari
kutoka bahari ya Chumvi na bahari ya Kinerethi mashariki mwa bahari ya Shamu magharibi.
# mto
"mto Frati," ambao Waisraeli walisafari kwenda huko kwa nchi kwa kuelekea kaskazini.
# mwisho wa nchi
hadi umbali ambao watu waliweza kusafiri ardhini kwa njia tofauti kufika kusini. Waisraeli walizungumzia dunia kana kwamba ilikuwa tambarare yenye mwisho.
# rambe vumbi
Hii ni sitiari ya aibu kubwa. "wanafanye kila wawezacho ili awaruhusu waishi"
# Tarshishi
jina la sehemu
# onyesha
"toa"
# toa zawadi
"onesha zawadi"
# Seba
Hili ni jina la nchi. Sio nchi sawa na ile ya Sheba.