# Awe na mamlaka "Mfalme awe na mamlaka" # kutoka bahari hadi bahari, na kutoka kwenye mto hadi mwisho wa nchi Misemo hii miwili inazungumzia mifano miwli ya tofauti ikimaanisha dunia nzima. # kutoka bahari hadi bahari kutoka bahari ya Chumvi na bahari ya Kinerethi mashariki mwa bahari ya Shamu magharibi. # mto "mto Frati," ambao Waisraeli walisafari kwenda huko kwa nchi kwa kuelekea kaskazini. # mwisho wa nchi hadi umbali ambao watu waliweza kusafiri ardhini kwa njia tofauti kufika kusini. Waisraeli walizungumzia dunia kana kwamba ilikuwa tambarare yenye mwisho. # rambe vumbi Hii ni sitiari ya aibu kubwa. "wanafanye kila wawezacho ili awaruhusu waishi" # Tarshishi jina la sehemu # onyesha "toa" # toa zawadi "onesha zawadi" # Seba Hili ni jina la nchi. Sio nchi sawa na ile ya Sheba.