forked from WA-Catalog/sw_tn
324 B
324 B
aliye na mgao kwenye kabila lake
"aliye na mgao wa ardhi kwenye kabila lake"
aweze kuwa na urithi
ardhi ambayo kila ukoo unaimiliki inaongolewa kama urithi waliopokea.
Hakuna mgao utakaobadilika kutoka kabila nyingine
"hakuna anayeweza kuhamisha umiliki wa mgao wowote wa ardhi kutoka kabila moja hadi nyingine"