sw_tn/num/36/08.md

13 lines
324 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# aliye na mgao kwenye kabila lake
"aliye na mgao wa ardhi kwenye kabila lake"
# aweze kuwa na urithi
ardhi ambayo kila ukoo unaimiliki inaongolewa kama urithi waliopokea.
# Hakuna mgao utakaobadilika kutoka kabila nyingine
"hakuna anayeweza kuhamisha umiliki wa mgao wowote wa ardhi kutoka kabila moja hadi nyingine"