# aliye na mgao kwenye kabila lake "aliye na mgao wa ardhi kwenye kabila lake" # aweze kuwa na urithi ardhi ambayo kila ukoo unaimiliki inaongolewa kama urithi waliopokea. # Hakuna mgao utakaobadilika kutoka kabila nyingine "hakuna anayeweza kuhamisha umiliki wa mgao wowote wa ardhi kutoka kabila moja hadi nyingine"