1.1 KiB
Huyu ndiye aliyeandikiwa
"Nabii huyo ni yule manabii waliyeandika kumhusu" au "Yohana ni yule manabii walimwandika wakati mrefu uliopita"
Tazama, mimi namtuma
katika mstari huu, Yesu anamnukuu nabii Malaki na kusema kuwa Yohana ni mjumbe wa kile Malaki alisema.
Mbele ya uso wako
Nahau inamaana "Mbele yako" or "kwenda mbele yako"
yako
Neno "Yako" ni umoja kwa sababu Mungu aliongea kwa masihi katika nukuu.
Nasema kwako
Yesu alikuwa anaongea na makutano hivyo "Ninyi" ni wingi. Yesu alitumia kirai hiki kusisitiza ukweli wa vitu vya kushangaza aliokuwa anaenda kuusema.
kati ya waliozaliwa na mwanamke
"baadhi ya wale mwanamke amewazaa" hii ni sitiari lakini inalenga kwa watu wote. NI: "watu wote waliowahi kuishi."
Hakuna aliye mkuu kuliko John
"Yohana ni mkuu zaidi"
angalau mtu mhimu katika ufalme wa Mungu
Hii inahusiana na kila mtu ambaye ni sehemu ya ufalme ambao Mungu atauanzisha.
Ni mkuu kuliko alivyo
kiwango cha kiroho cha watu katika ufalme wa Mungu kitakuwa cha juu kuliko cha watu kabla ya ufalme uliokuwa umeanzishwa. NI: "kiwango cha kiroho cha juu kuliko Yohana"