sw_tn/luk/07/27.md

37 lines
1.1 KiB
Markdown

# Huyu ndiye aliyeandikiwa
"Nabii huyo ni yule manabii waliyeandika kumhusu" au "Yohana ni yule manabii walimwandika wakati mrefu uliopita"
# Tazama, mimi namtuma
katika mstari huu, Yesu anamnukuu nabii Malaki na kusema kuwa Yohana ni mjumbe wa kile Malaki alisema.
# Mbele ya uso wako
Nahau inamaana "Mbele yako" or "kwenda mbele yako"
# yako
Neno "Yako" ni umoja kwa sababu Mungu aliongea kwa masihi katika nukuu.
# Nasema kwako
Yesu alikuwa anaongea na makutano hivyo "Ninyi" ni wingi. Yesu alitumia kirai hiki kusisitiza ukweli wa vitu vya kushangaza aliokuwa anaenda kuusema.
# kati ya waliozaliwa na mwanamke
"baadhi ya wale mwanamke amewazaa" hii ni sitiari lakini inalenga kwa watu wote. NI: "watu wote waliowahi kuishi."
# Hakuna aliye mkuu kuliko John
"Yohana ni mkuu zaidi"
# angalau mtu mhimu katika ufalme wa Mungu
Hii inahusiana na kila mtu ambaye ni sehemu ya ufalme ambao Mungu atauanzisha.
# Ni mkuu kuliko alivyo
kiwango cha kiroho cha watu katika ufalme wa Mungu kitakuwa cha juu kuliko cha watu kabla ya ufalme uliokuwa umeanzishwa. NI: "kiwango cha kiroho cha juu kuliko Yohana"