# Huyu ndiye aliyeandikiwa "Nabii huyo ni yule manabii waliyeandika kumhusu" au "Yohana ni yule manabii walimwandika wakati mrefu uliopita" # Tazama, mimi namtuma katika mstari huu, Yesu anamnukuu nabii Malaki na kusema kuwa Yohana ni mjumbe wa kile Malaki alisema. # Mbele ya uso wako Nahau inamaana "Mbele yako" or "kwenda mbele yako" # yako Neno "Yako" ni umoja kwa sababu Mungu aliongea kwa masihi katika nukuu. # Nasema kwako Yesu alikuwa anaongea na makutano hivyo "Ninyi" ni wingi. Yesu alitumia kirai hiki kusisitiza ukweli wa vitu vya kushangaza aliokuwa anaenda kuusema. # kati ya waliozaliwa na mwanamke "baadhi ya wale mwanamke amewazaa" hii ni sitiari lakini inalenga kwa watu wote. NI: "watu wote waliowahi kuishi." # Hakuna aliye mkuu kuliko John "Yohana ni mkuu zaidi" # angalau mtu mhimu katika ufalme wa Mungu Hii inahusiana na kila mtu ambaye ni sehemu ya ufalme ambao Mungu atauanzisha. # Ni mkuu kuliko alivyo kiwango cha kiroho cha watu katika ufalme wa Mungu kitakuwa cha juu kuliko cha watu kabla ya ufalme uliokuwa umeanzishwa. NI: "kiwango cha kiroho cha juu kuliko Yohana"