sw_tn/isa/21/05.md

17 lines
394 B
Markdown

# Wanaandaa
Hapa "wanaandaa" ina maana ya viongozi wa Babeli.
# andaa meza
Hapa "meza" inawakilisha chakula ambacho watu watakula katika karamu.
# inuka, wakuu
Hapa "wakuu" ina maana kwa ujumla wanamume wenye mamlaka na sio lazima wana wa wafalme.
# pakeni ngao zenu kwa mafuta
Wanajeshi wangepaka mafuta juu ngao zao za ngozi ili kwamba ziweze kuwa laini na zisipasuke wakati wa vita.