# Wanaandaa Hapa "wanaandaa" ina maana ya viongozi wa Babeli. # andaa meza Hapa "meza" inawakilisha chakula ambacho watu watakula katika karamu. # inuka, wakuu Hapa "wakuu" ina maana kwa ujumla wanamume wenye mamlaka na sio lazima wana wa wafalme. # pakeni ngao zenu kwa mafuta Wanajeshi wangepaka mafuta juu ngao zao za ngozi ili kwamba ziweze kuwa laini na zisipasuke wakati wa vita.