sw_tn/exo/15/12.md

13 lines
306 B
Markdown

# mkono wako wa kulia
Maneno "mkono wakulia" ya wakilisha nguvu kuu ya Mungu.
# Ulinyoosha mkono wako wa kulia
Musa anaongea kuhusu Mungu kusababisha kitu kitokee kana kwamba Mungu alinyoosha mkono wake.
# dunia ikawameza
Musa ana nafsisha dunia kana kwamba inaweza kumeza au kurarua kwa mdomo wake.