mkono wako wa kulia
Maneno "mkono wakulia" ya wakilisha nguvu kuu ya Mungu.
Ulinyoosha mkono wako wa kulia
Musa anaongea kuhusu Mungu kusababisha kitu kitokee kana kwamba Mungu alinyoosha mkono wake.
dunia ikawameza
Musa ana nafsisha dunia kana kwamba inaweza kumeza au kurarua kwa mdomo wake.