# mkono wako wa kulia Maneno "mkono wakulia" ya wakilisha nguvu kuu ya Mungu. # Ulinyoosha mkono wako wa kulia Musa anaongea kuhusu Mungu kusababisha kitu kitokee kana kwamba Mungu alinyoosha mkono wake. # dunia ikawameza Musa ana nafsisha dunia kana kwamba inaweza kumeza au kurarua kwa mdomo wake.