sw_tn/eph/04/25.md

25 lines
542 B
Markdown

# Wekeni mbali uongo
"Lazima mwache kusema uongo"
# Mnene ukweli, kila mmoja na jirani yake
"Waamini lazima wanene ukweli kwa majirani zao"
# Sisi ni wajumbe kila mmoja kwa mwingine
"Sisi sote ni wajumbe wa familia ya Mungu"
# Mwe na hasira, lakini msitende dhambi
"mnaweza kukasirika, lakini msitende dhambi"
# Msiliruhusu jua kuzama mkiwa na hasira zenu
"Lazima mwache kuwa na hasira kabla usiku haujaingia" au "muiondoe hasira yenu kabla ya siku haijaisha"
# msimpe ibilisi nafasi
"Msimpe ibilisi fursa ya kukupeleka dhambini"