# Wekeni mbali uongo "Lazima mwache kusema uongo" # Mnene ukweli, kila mmoja na jirani yake "Waamini lazima wanene ukweli kwa majirani zao" # Sisi ni wajumbe kila mmoja kwa mwingine "Sisi sote ni wajumbe wa familia ya Mungu" # Mwe na hasira, lakini msitende dhambi "mnaweza kukasirika, lakini msitende dhambi" # Msiliruhusu jua kuzama mkiwa na hasira zenu "Lazima mwache kuwa na hasira kabla usiku haujaingia" au "muiondoe hasira yenu kabla ya siku haijaisha" # msimpe ibilisi nafasi "Msimpe ibilisi fursa ya kukupeleka dhambini"