sw_tn/ecc/05/06.md

17 lines
450 B
Markdown

# Usiuruhusu mdomo wako kusababisha mwili wako kutenda dhambi
"Usiruhusu kile unenacho kikusababishe utende dhambi"
# kwa nini kumfanya Mungu ...mikono
"Itakuwa upumbavu kumfanya Mungu akasirike ... mikono
# aharibu kazi ya mikono yako
"aharibu kila kitu ufanyacho"
# Kwa kuwa katika ndoto nyingi, kama ilivyo katika maneno mengi, kuna mvuke ubatili
"Kuzidisha maneno haiipi umbo, kama vile kuwa na ndoto nyingi haizifanyi kuwa kweli zaidi."