# Usiuruhusu mdomo wako kusababisha mwili wako kutenda dhambi "Usiruhusu kile unenacho kikusababishe utende dhambi" # kwa nini kumfanya Mungu ...mikono "Itakuwa upumbavu kumfanya Mungu akasirike ... mikono # aharibu kazi ya mikono yako "aharibu kila kitu ufanyacho" # Kwa kuwa katika ndoto nyingi, kama ilivyo katika maneno mengi, kuna mvuke ubatili "Kuzidisha maneno haiipi umbo, kama vile kuwa na ndoto nyingi haizifanyi kuwa kweli zaidi."