forked from WA-Catalog/sw_tn
730 B
730 B
nayo
Hapa "nayo" urejea kwa mnyama atakayetolewa dhabihu na kuliwa.
siku saba
"siku 7"
mkate wa taabu
Hii ilikuwa jina la mkate usiotiwa chachu.Maana kamili inaweza kutajwa kwa waziwazi.
nje ya ardhi ya Misri kwa haraka
Watu walipaswa kuondoka Misri kwa haraka ambako hakuwa na muda wa kutosha kufanya mkate wa amila.
Fanya hili kwa siku zote za maisha yako
"Fanya hili kwa muda mrefu unapoishi"
kumbuka akilini
Hii ni nahau. "kumbuka"
Hakuna chachu lazima ionekane kati yenu
Hii inaweza kutajwa kwa mfumo tendaji. "Haupaswi kuwa na chachu yoyote miongoni mwenu"
ndani ya mipaka yenu
"ndani ya wilaya yako yote" au "katika nchi yako yote"
siku ya kwanza
Hii "kwanza" ni namba ya upeo kwa moja.