# nayo Hapa "nayo" urejea kwa mnyama atakayetolewa dhabihu na kuliwa. # siku saba "siku 7" # mkate wa taabu Hii ilikuwa jina la mkate usiotiwa chachu.Maana kamili inaweza kutajwa kwa waziwazi. # nje ya ardhi ya Misri kwa haraka Watu walipaswa kuondoka Misri kwa haraka ambako hakuwa na muda wa kutosha kufanya mkate wa amila. # Fanya hili kwa siku zote za maisha yako "Fanya hili kwa muda mrefu unapoishi" # kumbuka akilini Hii ni nahau. "kumbuka" # Hakuna chachu lazima ionekane kati yenu Hii inaweza kutajwa kwa mfumo tendaji. "Haupaswi kuwa na chachu yoyote miongoni mwenu" # ndani ya mipaka yenu "ndani ya wilaya yako yote" au "katika nchi yako yote" # siku ya kwanza Hii "kwanza" ni namba ya upeo kwa moja.