Musa anaelezea kwa watu sadaka zote maalumu na dhabihu ambazo zinapaswa kufanywa hekaluni.
Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.