sw_tn/deu/12/17.md

13 lines
252 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anaelezea kwa watu sadaka zote maalumu na dhabihu ambazo zinapaswa kufanywa hekaluni.
# ndani ya malango
Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.
# wala ile ya sadaka uliyoitoa kwa mkono wako
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.