# Habari ya jumla Musa anaelezea kwa watu sadaka zote maalumu na dhabihu ambazo zinapaswa kufanywa hekaluni. # ndani ya malango Hapa "malango" uwakilisha mji mzima. # wala ile ya sadaka uliyoitoa kwa mkono wako Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.