sw_tn/dan/03/26.md

21 lines
440 B
Markdown

# Magavana wa majimbo, magavana wengine
Haya ni madaraja ya mamlaka juu ya himaya tofauti tofauti.
# nywele katika vichwa vyao hazikuungua
Muundo tendaji waweza kutumika kwa tungo hii."moto haukuweza kuunguza nywele vichwani mwao."
# Kuungua
"kuchomeka"
# mavazi yao yalikuwa hayajaharibiwa
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Moto haukuweza kuharibu mavazi yao."
# na hawakuwa na harufu ya moto
"hawakunukia harufu ya moto"