# Magavana wa majimbo, magavana wengine Haya ni madaraja ya mamlaka juu ya himaya tofauti tofauti. # nywele katika vichwa vyao hazikuungua Muundo tendaji waweza kutumika kwa tungo hii."moto haukuweza kuunguza nywele vichwani mwao." # Kuungua "kuchomeka" # mavazi yao yalikuwa hayajaharibiwa Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Moto haukuweza kuharibu mavazi yao." # na hawakuwa na harufu ya moto "hawakunukia harufu ya moto"