forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
552 B
Markdown
21 lines
552 B
Markdown
# kasirike na kughadhabika
|
|
|
|
Maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na kutia mkazo juu ukali wa hasira yake.
|
|
|
|
# wale wote katika Babeli
|
|
|
|
"watu wote katika Babeli"
|
|
|
|
# Hivyo, amri ilitoka
|
|
|
|
Amri inaongelewa kama ni kitu chenye uhai na chenye uwezo wa kwenda nje. "Mfalme aliipitisha amri"
|
|
|
|
# wale wote waliojulikana kwa hekima yao ni lazima wauawe
|
|
|
|
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Wanajeshi walitakiwa kuwaua watu wote waliojulikana kwa hekima zao"
|
|
|
|
# ili kwamba wauawe
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "kwa lengo la kuwaua"
|
|
|