sw_tn/act/24/10.md

33 lines
586 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paul anaitikia kwa Gavana Feliki kuhusu mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yake.
# Gavana alimwashiria
"gavana akitoa ishara"
# mwamuzi wa taifa hili
Neno "taifa" linamaanisha watu wa taifa la Kiyahudi. "Mwamuzi wa wa watu wa taifa la Wayahudi"
# Kujieleza mwenyewe
"Kuielezea hali yangu"
# waweza kuhakikisha
"unauwezo wa kufuatilia na kuthibitisha"
# siku kumi na mbili tangu
"Siku 12 tangu"
# sikuweza kuhamasisha kusanyiko"
Neno "kuhamasisha" ni kuwafanya watu wasiwe na utulivu"
# mashitaka
"Lawama juu ya matendo maovu" au "mashitaka ya uharifu"