# Sentensi unganishi Paul anaitikia kwa Gavana Feliki kuhusu mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yake. # Gavana alimwashiria "gavana akitoa ishara" # mwamuzi wa taifa hili Neno "taifa" linamaanisha watu wa taifa la Kiyahudi. "Mwamuzi wa wa watu wa taifa la Wayahudi" # Kujieleza mwenyewe "Kuielezea hali yangu" # waweza kuhakikisha "unauwezo wa kufuatilia na kuthibitisha" # siku kumi na mbili tangu "Siku 12 tangu" # sikuweza kuhamasisha kusanyiko" Neno "kuhamasisha" ni kuwafanya watu wasiwe na utulivu" # mashitaka "Lawama juu ya matendo maovu" au "mashitaka ya uharifu"